Maarifa na Miongozo ya Kujifunza: Kufikiria kama mwenye akili maalumu
Njia ya kujifunza kunaofaa ni
Inaweza kuwa rahisi kujifunza Phisikia lakini iwe vigumu
kujifunza "tennis".
Aina zote za kujifunza hufuata hatua fulani.
| Anza na
yale |
Ulipata ujuzi gani kuhusu habari na
jinsi unavyojifunza?
Mazoeo yako ya kujifunza ni yapi? ulipataje mazoeo yako? Zoeo lipi lilikuwa bora zaidi?Zoeo lipi lilikuwa baya zaidi? Uliweza kueleza kwa njia gani kile ulichifunza bora zaidi? Kwa kufanya majaribio yalioandikwa au kuonana kwa habari fulani? |
| Endelea na ya
sasa
( ya leo) |
Nimevutwa moyo kiasi gani na ya sasa? Jiulize kama hali iko sawasawa kwa kufaulu? Nini chageuza kujitolea kwangu kuyasoma haya? Ninao mpango? Je, mpango wangu hufikiria ujuzi wangu wa zamani na mtindo wa elimu? |
| Fikiria njia
ya kufuatwa pamoja na
jambo unaloliangalia |
Ni lipi neno kuu? Ni nini ninachokijua kuhusu mambo hili? Namna gani za habari zitanisaidia? Ninapojifunza, ninajiuliza kama ninaelewa? Je, ninakoma na kufupisha ninayoyasoma? Ninahitaji wakati wa kufikiria na kulirudia hili
jambo baadaye? |
| Fanya Ukaguzi |
Nini nilichokifanya sawasawa? Je, nilichagua hali nzuri? Nilifaulu? |